Habari zenu wanaJF!
Mimi nina laptop aina ya dell aina ya insprion d5010, ina 320 gb hdd, 3gb ram na ni 64 bits, nimejaribu kudownload webcam ya hiyo dell nimeshindwa. Naomba mnisaidie niweze kupata driver zake. Ninatumia window 7 professional.
Ngoja nijaribu kui2mia hiyo link uliyonipa but nilishajaribu mara ya kwanza ku2mia website yao na nikaona hiyo list but laptop yangu haipo kwenye hiyo list
the best webcam tumia youcam 5,nimeshindwa weka link coz natumia mobile follow this instruction ni rahis,just google-download torrents kwanza,then ingia www.kat.ph then kwenye andika youcam-utajipakulia youcam activated