TWIZAMALLYA JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 397 Reaction score 81 Mar 22, 2012 #1 Pamoja na manchester city kushinda jana tunaimani kubwa na ubingwa wa EPL kwetu sisi Manu.Na itakuwa vizuri sana kama mechi ya mancity na Manu iamue bingwa.
Pamoja na manchester city kushinda jana tunaimani kubwa na ubingwa wa EPL kwetu sisi Manu.Na itakuwa vizuri sana kama mechi ya mancity na Manu iamue bingwa.