''Wazo mbadala''

Joined
Jul 16, 2011
Posts
26
Reaction score
1
Naomba tuongelee maadili kidogo. Katika taasisi zetu kuna maboksi yamewekwa kwa ajili ya kuwekea condom. Kwa maana ya kwamba wanasogeza huduma karibu na watu. Inawezekana ipo maana na lengo zuri kwa jamii. Lakini katika upande mwingine nadhan tunaruhusu ngono,yaani kuhalalisha amri ya 6. Je,hii ni halali? Maana mimi kwa mawazo yangu nadhani ni kumpa mtu uhuru wa kuihalalisha amri hii ya Mungu. Je tutafika??

mi naona bora mbaya kuliko mbaya kabisa.............

mi naona bora mbaya kuliko mbaya kabisa.............

Asume wewe ndio baba,mwanao anaenda shule ya boarding. Utampa condom ili akajikinge huko shulen au utamshauri ajihadhari na madhara ya ngono?

CONDOM!WE UNASHANGAA NINI!NI WAZO ZURI ILA AKILI KUMKICHWA,UNAFAHAMU HII KITU HUWEZI KUIZUIYA TAMAA NYINGI,VISHAWISHI VINGI,SASA CHA MSINGI NI KUTUMIA BUSARA.UPO APO:boom:

Na kama
walivyokataa kuwa na Mungu
katika fahamu zao, Mungu
aliwaacha wafuate akili zao
zisizofaa, wayafanye
yasiyowapasa.
Warumi 1:28.

Asume wewe ndio baba,mwanao anaenda shule ya boarding. Utampa condom ili akajikinge huko shulen au utamshauri ajihadhari na madhara ya ngono?
Hivi kuna boarding school za ngono? Nijuavyo mimi boarding school nyingi ni same sex schools. Hata zile zenye mchanganyiko zina strict sex segregation katika malazi. Sasa mtoto kupewa condom inakujaje? Kama mwanao ni mkwale atakuwa amejifunzia nyumbani labda kutokana na mfano wako. Akienda shule akaendelea na tabia hiyo atafurumshwa tu. Labda zipo hizo 'special' schools, sijui.

Janga la Ukimwi lipo. Mungu kakupa akili namna ya kujikinga kwa kukupa ujuzi wa kutumia condom. Kama una udhaifu wa kutoweza kuepuka ngono zembe ni afadhali utumie condom. Vinginevyo ni kama kujinyonga ambayo nayo ni dhambi. Kama utatulia na mkeo (ambaye unmwamini) condom ya nini?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…