lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Natamani kushusha hapa lakini naogopa wazo langu litabebwa!. Kuna wakati mafanikio bila ubinafi kidogo hayaji.Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.
Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.
Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
Audience ya nje ndiyo kwenye pesa piaHaya mambo inabidi ujitafute mwenyewe na upate audience ya nje. Bongo michosho labda kama unatafuta umaarufu.
AsanteHaya mambo inabidi ujitafute mwenyewe na upate audience ya nje. Bongo michosho labda kama unatafuta umaarufu.
Hii ni excuse tu,Mabando yameua fursa ya youtube, wasanii tuliozoea wanapata views milioni ndani ya siku 1 kwa sasa zinatafutwa hata wiki nzima