Waziri Mkuu na Urais

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,297
Reaction score
18,046
Imekuwa kama kawaida na waswahili husema kawaida ni kama sheria. Hakuna sheria inayozuia lakini imetokea tu mpaka sasa hakuna Waziri Mkuu Mstaafu amefanikiwa kuwa Rais.

Alipoondoka Mwl Nyerere, ilishindikana kwa Salim Ahmed Salim

Alipoondoka Mwinyi, hali ikawa hiyo hiyo

Alipoondoka Mkapa, ilishindikana kwa Sumaye

Sasa anapoondoka Kikwete, je Lowassa, Sumaye na Pinda wataweza?

Ni kama kuna laana fulani ya nafasi ya Waziri Mkuu na Urais. Labda 2015 itakuja na maajabu yake.
 

msimu huu wako siriaz sana,chochote cha weza kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…