Kuna wazazi bado wapo mfumo wa zaman( analogia) wanajifanya busy na dil za kimaisha wanasahau watoto wao kimalez.watoto wanakuwa wa mahouse girls/boyz,mtoto miaka miwil boarding schools.mnalala na watoto wanaojua kuongea vyumban.mwishowe watoto wanasimulia mnavyobenjuana ucku mitaan, wanakosa mapenz ya wazaz na malez sahihi ya wazaz.finaly wanakuwa digital afu kwa unafiki wazaz mnajifanya kulalamika.SAWA KAZ MUHIMU LAKIN TENGA MDA WA KUANGALIA FAMILIA.
her ackiaye neno akalishika