Wazanzibar hawana shukrani

Kwa iyo unatufanananisha wazanzibari ni sawa na vipofu
 

Mbona wasomali wapo hapa tanzania na wala hamna muungano na pia wanazo ardhi, nebdeni na nyie basi mukachukue hizo ardhi
 

tutawakata vichwa mmoja mmoja waache!!
 
Kama mvungano wenyewe ndio huo wa kudhulumina na kubambikian madeni BORA basiiii WAACHWE ZNZ WAPUMUE
 
Kama wanataka kichapo cha mbwa mwizi walete habari za mipaka ya Mwarabu na Mjerumani.

Mjarumani alipokuja Afrika mashariiki mwarabu alikuwa ameshajikita sehemu ya kilwa,bagamoyo,mafia,zanzibar, mombasa zote zilikuwa zake,sehemu kubwa ya afrika mashariki ilikuwa makaloni yake,kuazia kismayu mpaka Kilwa,habari za hivi karibuni mombasa inataka kurejeshwa kwa zanzibar,sasa ,mwenzangu sijui unanaongelea mipaka gani ya mjarumani..

 
Last edited by a moderator:
Waache waliye historiya inajirudi, hatua kwa hatua kwanza tunachukua zanziba yetu, tunakuja mombasa baadae tuondo na maili zetu kumi za mwambao wa tanganyika, hapo sijui raisi wa tanganyika atakaa wapi mana ikulu gani mana pale magogoni c kwao kwa kulijua hilo ndio mana baba yao nyerere akang'ang'ani wahamie dodoma huko ndiokwa kwani alijua wazenj wakija wakiamua kuchukua ardhi yao rais wao atakua hana ikulu. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…