kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Nilipokuwa sekondari tulisoma na wanafunzi wasioona.Siku moja ilikuwa siku ya kugawiwa ndizi(matunda) na zikagawanywa kila mtu apate angalau moja.Hata hivyo share ya wasioona ilitengwa pembeni ili wagawane wao wenyewe kwani ilihofiwa wakichanganywa na wengine wanaweza kukosa mgao wao.Kilichotokea ni kwamba baadhi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza walikosa kabisa ndizi wakati wasioona walipata ndizi tano tano!Wale wanaoona waliamua kwenda kuwaomba wasioona.Wasioona waliwanyima na walisikika wakisema"Kama sisi tusioona tumepata tano,je ninyi mnaoona si mtakuwa mmepata hata kumi?"Wazanzibar wanafaidika sana na muungano lakini kelele nyingi za kero zinatoka kwao!Watu hawa hawana shukrani na sishauri waendelee kubebwa huku wakitutapikia!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mimi naona wazanzibar wanajua wafanyalo ila sisi watanganyika hatujui tutokako wa tuendako tunaburuzwa tu ebu tutafakari muda umefikaNilipokuwa sekondari tulisoma na wanafunzi wasioona.Siku moja ilikuwa siku ya kugawiwa ndizi(matunda) na zikagawanywa kila mtu apate angalau moja.Hata hivyo share ya wasioona ilitengwa pembeni ili wagawane wao wenyewe kwani ilihofiwa wakichanganywa na wengine wanaweza kukosa mgao wao.Kilichotokea ni kwamba baadhi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza walikosa kabisa ndizi wakati wasioona walipata ndizi tano tano!Wale wanaoona waliamua kwenda kuwaomba wasioona.Wasioona waliwanyima na walisikika wakisema"Kama sisi tusioona tumepata tano,je ninyi mnaoona si mtakuwa mmepata hata kumi?"Wazanzibar wanafaidika sana na muungano lakini kelele nyingi za kero zinatoka kwao!Watu hawa hawana shukrani na sishauri waendelee kubebwa huku wakitutapikia!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nilipokuwa sekondari tulisoma na wanafunzi wasioona.Siku moja ilikuwa siku ya kugawiwa ndizi(matunda) na zikagawanywa kila mtu apate angalau moja.Hata hivyo share ya wasioona ilitengwa pembeni ili wagawane wao wenyewe kwani ilihofiwa wakichanganywa na wengine wanaweza kukosa mgao wao.Kilichotokea ni kwamba baadhi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza walikosa kabisa ndizi wakati wasioona walipata ndizi tano tano!Wale wanaoona waliamua kwenda kuwaomba wasioona.Wasioona waliwanyima na walisikika wakisema"Kama sisi tusioona tumepata tano,je ninyi mnaoona si mtakuwa mmepata hata kumi?"Wazanzibar wanafaidika sana na muungano lakini kelele nyingi za kero zinatoka kwao!Watu hawa hawana shukrani na sishauri waendelee kubebwa huku wakitutapikia!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mipaka ya Mjerumani Zanzibar ni mali ya TanganyikaWapemba wanadai mipaka ya mjerumani na mwarabu,IKULU Ya Dar ni zanzibar , tanga Hadi mtwara yao
Wapemba wanadai mipaka ya mjerumani na mwarabu,IKULU Ya Dar ni zanzibar , tanga Hadi mtwara yao
Utampiga nani wewe kibaraka?Kama wanataka kichapo cha mbwa mwizi walete habari za mipaka ya Mwarabu na Mjerumani.
Mimi naona wazanzibar wanajua wafanyalo ila sisi watanganyika hatujui tutokako wa tuendako tunaburuzwa tu ebu tutafakari muda umefika
Wzanzibari wanaakili ila Watanganyika ni misukule ya Nyerere, hadi leo bado wanamuogopa.
Wapemba wanadai mipaka ya mjerumani na mwarabu,IKULU Ya Dar ni zanzibar , tanga Hadi mtwara yao
Utampiga nani wewe kibaraka?
Utampiga nani wewe kibaraka?
Teh teh teh, mbona watu wenyewe hamuenei kwenye kiganja?
wanagongwaaa