Wauza laptop tukutane hapa

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nauza mini laptop hiyo...

Ni ya samsung, uwezo wake...

HARD DISK: 150 GB
RAM: 1GB
PROSESSOR: 1.33GHz

Naombaa bei..?
 

Attachments

  • 1438791496273.jpg
    22.9 KB · Views: 290
  • 1438791517496.jpg
    29 KB · Views: 268
  • 1438791532820.jpg
    23.8 KB · Views: 262
  • 1438791545931.jpg
    18 KB · Views: 252
  • 1438791555071.jpg
    19.8 KB · Views: 251
Teh teh typing error.. Sorry...

HARD DISK 150 GB
RAM 1GB
 
Nauliza kitu cha Lenovo naweza kupata kwa kiasi gani?
 
Pc ina tatizo gani lolote na inakaa na chaji kwa muda gani?

Haina tatizo lolote mkuuu...
Kwenye kukaaa na charge ni two hours upto three hours...

Ninazo mbili that why nimeamua kuiuza hii.. Sio kwamba naiuza kwa sababu ina tatizo fulani... Hapana...
 
Last edited by a moderator:
nauza laptop ya acer aspire 5349
ina hdd 320gb, ram 2gb, procesor 1.8ghz
kwa sh 300000tsh
ipo kwenye good condiction kila kitu kina fuction
nicheki 0755695496
wahi kabla hujawahiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…