I indigwe Member Joined Feb 5, 2010 Posts 31 Reaction score 0 Mar 7, 2010 #1 jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na walemavu
jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na walemavu
I indigwe Member Joined Feb 5, 2010 Posts 31 Reaction score 0 Mar 7, 2010 Thread starter #2 muuguzi mmoja akigundulika amefanya uzembe awajibishwe ili iwe mfano kwa wengine la sivyo tutaendelea kuteseka
muuguzi mmoja akigundulika amefanya uzembe awajibishwe ili iwe mfano kwa wengine la sivyo tutaendelea kuteseka