Kwel kifo ni adui!! majambazi walivamia benk wakawaambia " watu wote tunaanza kuwauwa kwa alfabet za majina yenu A,B,C,........Z" wakamuuliza meneja : unaitwa nani? Meneja : zosef zabrahamu. Wakawauliza watumishi wengine : 1: naitwa zedward zamweli, wapili: zanna zadam watatu: zahussein zamussa, wanne: zaasha zaabdallah. wa5.zumari zayakuti. Vipi kama na wewe ungekuwepo bank siku hiyo kwa ninavyokujua unavyoogopa kifo najua ungejiita ZOMBI
ZABWEGE.uwongo!!!"!""""""
Kwako humu!!!"????hahaaa kumbee nasomwaaa hadi rahaaaaaa
Chekaa unenepee acha wakondee waliotupwaa kulee