Watu 20 matajiri DSE mwaka 2026

Kwa list ulivyoitaja bas hata mimi ningekuwepo. sijajua umezingatia vigezo gani ila kuna watu wanamizigo mizito huko NMB na CRDB na wapo Kimya tu. Mfano NICOL hujamtaja EMILIANI BUSARA etc
 
Wahindi na wachaga wako vizuri sana pande hizi
 
Typing error ni nyingi mno, kileo anaitwa kilworth,shirima shilima nk, rekebisha kwanza
 
Kwa list ulivyoitaja bas hata mimi ningekuwepo. sijajua umezingatia vigezo gani ila kuna watu wanamizigo mizito huko NMB na CRDB na wapo Kimya tu. Mfano NICOL hujamtaja EMILIANI

Kwa list ulivyoitaja bas hata mimi ningekuwepo. sijajua umezingatia vigezo gani ila kuna watu wanamizigo mizito huko NMB na CRDB na wapo Kimya tu. Mfano NICOL hujamtaja EMILIANI BUSARA etc
wakati mwingine tutakutaja
 
Godfrey Calvin magila huyu bwana mdogo kaja juu kwenye ICT and infomation security ,kampuni yake naona imefanya hizuri hadi kumiliki hisa za bilioni 70 .
 
Huyo Namba 9 daah sitosahau nilinunua hisa 3000 mpaka kesho hakuna hata gawio
Pole mkuu. Yani unanunua hisa ya shirika la ndege? Wakati wapanda ndege ni wakuhesabu na mashirika yanatengeneza hasara kila siku?
 
Wachaga na wahindi
 
Wachagga hoyeeeeeee.
 
Huyo Namba 9 daah sitosahau nilinunua hisa 3000 mpaka kesho hakuna hata gawio
Biashara ya commercial airline transportation ngumu sana. Kidogo afadhari ndege za kukodisha ndogo zile (chartered flights).
Scheduled flights ngumu hasa zinazofanya long haul flights.
Kwa mtu anaye jitafuta sishauri awekeze hisa kwenye biashara hizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…