nenda devis pale kamata wanazo pedrollo,grandforce,lowarra hizi ni pump nzuri sana ila bei zao ni nzito
au merry water pale victoria pia zipo na bei pia zimechangamka
kwa bei nafuu unaweza kupata aina hizo za pump gerezani kariakoo ila uwe mzoefu wa kujua original na feki kwa hp 1 kuanzia ml 1.2 mpaka laki 8 unapata kwa aina hizo
mm hujiahughulisha na hiyo kazi pia