Hoffman degradation
Member
- Jan 29, 2017
- 61
- 66
Iyo ilimlenga MboweHabari Wana Jf.
=====================================
Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa Na mwanafunzi WA chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea haki za kikatiba Na zakibinadamu.
=====================================
Ila ndgu zangu Wantanzania/Wana Jf tunatakiwa kujiuliza,kuwa Ile risasi iliompiga mtanzania wenzetu asiye Na hatia ilimlenga nani haswa?
Mimi kwa fikra zangu nafikiri hii lisasi ilimlenga Mtu aliyekuwa kwenye Maandamano lakini *Mungu Si Athumani,akaiepusha hiyo risasi Na kwa bahati mbaya ikaenda kumpata Aquilina.
=====================================
Tanzania Ni nchi ya Amani sna tunaomba jeshi LA polisi liwe makini sna kuilinda tunu hii tuliochiwa Na waasisi WA Taifa letu.
@
Damu hizi zikiendelea kumwagika Taifa halitakuwa salama hata kidogo..
[HASHTAG]#Naililia[/HASHTAG] Tanzania ya Amani#
#R.I.P Miss-Aquilina#
=====================================
View attachment 697398
Wanasema walipiga hewani halafu ikarudi chini na kumuua yule binti ishiii yaani wanatufanya sisi wote watanzania hatujui tabia za risasi, risasi ikipigwa juu inaungua mpaka inabaki majivu na kupoteaHabari Wana Jf.
=====================================
Najua wengi wetu tupo juu ya majonzi mazito juu ya kuondokewa Na mwanafunzi WA chuo cha NIT Miss-Aquilina Na majeruhi wengine waliopata dhoruba katika pilika pilika za kutetea haki za kikatiba Na zakibinadamu.
=====================================
Ila ndgu zangu Wantanzania/Wana Jf tunatakiwa kujiuliza,kuwa Ile risasi iliompiga mtanzania wenzetu asiye Na hatia ilimlenga nani haswa?
Mimi kwa fikra zangu nafikiri hii lisasi ilimlenga Mtu aliyekuwa kwenye Maandamano lakini *Mungu Si Athumani,akaiepusha hiyo risasi Na kwa bahati mbaya ikaenda kumpata Aquilina.
=====================================
Tanzania Ni nchi ya Amani sna tunaomba jeshi LA polisi liwe makini sna kuilinda tunu hii tuliochiwa Na waasisi WA Taifa letu.
@
Damu hizi zikiendelea kumwagika Taifa halitakuwa salama hata kidogo..
[HASHTAG]#Naililia[/HASHTAG] Tanzania ya Amani#
#R.I.P Miss-Aquilina#
=====================================
View attachment 697398
Kweli kabisa ndugu....Kifo cha binti huyu kimenifundisha yafuatayo:
1. Kumbe kufikiria kuwa siasa hazikuhusu, hivyo ukaamua ukae kimya, usifanye chochote pia hakusaidii?
2. Kumbe kuona mambo yakivurugwa ukakaa pembeni ukasema sitaki kujihusisha nisije nikapoteza hiki ama kile kunaweza kusiwe sahihi?
3. Kumbe lolote linalotendwa nchini linaweza kukuumiza hata kama haulijui? Huyu binti si ajabu wala hakujua kuna patashika iliyokuwa inaendelea..
4. Kumbe kukaa kimya na kuacha yasiyofaa yakiendelea siyo guarantee...
5. Kumbe unaweza kula janga hata bila kumjua aliyelichuma??..
Pumzika kwa amani Akwilina...
Copy and paste
Kifo cha binti huyu kimenifundisha yafuatayo: