Lowasa ni fisadi; leo Lowasa si fisadi bali ni rais wetu wa mioyoni. Dr. Slaa ndiye rais wetu wa mioyoni; leo huyo Slaa ni dr. mihogo anayeshawishiwa na kidosho wake.
Utawaweza vijana wa kitanzania...wanaleta ushabiki wa simba na yanga kwenye siasa ..watanzaniA tunaitwaga wajinga sababu hatujui kutofautisha wapi tuweke siasa wapi tuweke facts...kukurupuka nakushabikia mivyama ya siasa ndo tunajiona wajanja