Watanzania huu ugonjwa wakuwa mandumilakuwili tutapona lini

bilengeh

Senior Member
Mar 31, 2017
135
86
Nianze kwa kumshukuru mungu kuna haka katabia kakullamika kil kitu tujitahidi tuachane nayo

Hii nasema baada ya wiki kadhaa kuona watu tukilalamikia suala la matibabu ya muheshimiwa tundu lissu .

Pande zote kwa uelewa wangu ulitanguliza ufahari kuliko utu.

Sasa haya maneno maneno tuyazike rasmi natuungane katika matibabu
Screenshot_20170921-210507.png
Screenshot_20170921-210423.png
Screenshot_20170921-210507.png
Screenshot_20170921-210507.png


Hizo nibaadhi ya comment chache katika nyingi za upuuzi ambazo hazijengi.

Tuweke tofauti pembeni na kushirikina kumnusuru ndugu yetu

Note- maskini hachoki kuomba na pia maskini hakatai anachopewa
 
Lowasa ni fisadi; leo Lowasa si fisadi bali ni rais wetu wa mioyoni. Dr. Slaa ndiye rais wetu wa mioyoni; leo huyo Slaa ni dr. mihogo anayeshawishiwa na kidosho wake.
 
Utawaweza vijana wa kitanzania...wanaleta ushabiki wa simba na yanga kwenye siasa ..watanzaniA tunaitwaga wajinga sababu hatujui kutofautisha wapi tuweke siasa wapi tuweke facts...kukurupuka nakushabikia mivyama ya siasa ndo tunajiona wajanja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom