Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

hivi kuna mtangazaji mmoja wa clouds 360 anaitwa komoga siku hizi yupo wapi vile

Kamonga alipewa shavu la ukurugenzi wa wilaya ya Mbulu na kwa bahati nzuri sana wilaya yake ikafanikiwa kuwa ya pili toka mwisho hapa Tanzania kwa kushindwa kukusanya mapaato ya Mr Jaffo lakini kwa kuwa ni mshikaji hakufanywa chochote badala yake jumba bovu hilo akamtupia DT wake ambaye mpaka leo hajachomoa
 
Clouds media is no more, soon inaenda kuwa kama Channel ten!!

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Wacha unafiki ingekuwa siasa ni dhambi using swash annulus hao wanasiasa kwani ndio kazi yao wanayoipenda na hao unaowaita mabeberu co kila kitu wanakubaliana nacho wanatazama mazingira na ushahidi hao wanaohangaika kuielezea Tanzania ilivyo hivi sasa ni wazalendo zaidi kuliko nyinyi mliojifungia hapo clouds na kuropoka bila kutoa facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…