S shareef95nes Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 108 Reaction score 16 Mar 6, 2013 #1 kuna dogo langu limepata phy-c chem-c math-c bio-b eng-c kisw-D civics-c computer-c geo-c yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB
kuna dogo langu limepata phy-c chem-c math-c bio-b eng-c kisw-D civics-c computer-c geo-c yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB
S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 Mar 6, 2013 #2 Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia
ndiwela Member Joined Jul 19, 2012 Posts 25 Reaction score 4 Mar 6, 2013 #3 Kwa kuwa alichagua PCM ya kwanza na ana credit katika masomo yote yanayounganisha combination hiyo lazima achuguliwe PCM. Chaguo la kwanza linaheshimiwa sana
Kwa kuwa alichagua PCM ya kwanza na ana credit katika masomo yote yanayounganisha combination hiyo lazima achuguliwe PCM. Chaguo la kwanza linaheshimiwa sana
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Mar 6, 2013 #4 Suplier said: Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia Click to expand... Kwa nini unasema hivyo?
Suplier said: Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia Click to expand... Kwa nini unasema hivyo?
S shareef95nes Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 108 Reaction score 16 Mar 6, 2013 Thread starter #5 Suplier said: Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia Click to expand... nikuoshee kwa kipi wekama umefeli wewe
Suplier said: Acha kutuoshea hayo matokeo ya kichwani tu hayana uhalisia Click to expand... nikuoshee kwa kipi wekama umefeli wewe
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,070 Reaction score 3,792 Mar 6, 2013 #6 atapelekwa PCM ila shule za kawaida sana ambazp hazina walimu wanaostahili na wasiomaliza syllabus
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Mar 6, 2013 #7 shareef95nes said: kuna dogo langu limepata phy-c chem-c math-c bio-b eng-c kisw-D civics-c computer-c geo-c yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB Click to expand... kwani pcb aliweka ya ngapi??? kama aliweka ya pili...ana uwezekano wa kwenda pcb!!
shareef95nes said: kuna dogo langu limepata phy-c chem-c math-c bio-b eng-c kisw-D civics-c computer-c geo-c yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB Click to expand... kwani pcb aliweka ya ngapi??? kama aliweka ya pili...ana uwezekano wa kwenda pcb!!
S shareef95nes Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 108 Reaction score 16 Mar 7, 2013 Thread starter #8 pcb aliweka ya tatu
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Mar 7, 2013 #9 shareef95nes said: pcb aliweka ya tatu Click to expand... hata kama ni ya 3....mara nyingi sana wanachek hasa kama umefaulu bio kwa kiwango hicho.....
shareef95nes said: pcb aliweka ya tatu Click to expand... hata kama ni ya 3....mara nyingi sana wanachek hasa kama umefaulu bio kwa kiwango hicho.....