hizi ndege ndogo zilizoko hapa nchini zinapaswa kuangaliwa upya.ni za zamani sana na technolojia zinazotumia ni GPRS na sio VOR kama. kama mitambo ya kisasa ya kuongozea ndege.ni ndege za miaka mingi sana na sidhani kama bado zinatengenezwa viwandani.juzi tu kuna moja imefeli break na kupitiliza uwanja huko zenji.kama sikosei ni zanair pia

mkuu vor ni mitambo ya kisasa ambayo hutumika kuongozea ndege.hii inakuwa na freequency kama za radio.mfano,98.6 labda ndo iwe freequency ya dar then ruban anayetoka nairobi baada ya kuiacha anga ya kenya atatune freequency hiyo ambayo ni ya dar so hata hitaji sana kuwasumbua control towers.hawez poteza uelekeo wala nini sana sana akishafika ataomba control tower clearence ya runway atue.n'way cwez eleza saaaana but unaweza uka google utapata majibu murua.hivi vindege vidogo na hasa vya zamani havina technolojia hiyo