Nina mipango mingi katika kuanzisha vyanzo vya mapato
Wakati Sina pesa natamani nikipata fedha kiasi Fulani niwekeze ktk biashara kilimo au ufigaji wa kuku
Wazo nalichorea mchoro naiwekea bajeti hiyo kitu ninayotaka kuwekeza iwe biashara kilimo au ufigaji
Naitafuta pesa kwa bidii watu wa pwani twasema udi kwa uvumba
Cha ajabu ninapofanikiwa kupata hiyo pesa naanzisha investment au biashara nyingine kabisa ambayo haikuwa katika mchoro
Na sistuki ukiona nastuka juu ya hiyo biashara au uwekezaji ujue jahazi Lina linaelekea kuzama
Wapi nafeli ni Mimi mwanachama mpya msaada tafadhal