Wataalamu hii dawa inaitwaje?

Boss. Hiyo sio dawa. Ni virutubisho (chakula) ambavyo vimetengezwa mahabara. Ni kama vile virutubisho vya Forever Living.
Sijui utakapoipata TZ ila Amazon nimeiona. Bei yake $23-30. Pia kwenye website yao utaipata.
 
View attachment 1306094
Hakuna jinsi ya kupata virutubisho vinavyofanana na hivyo hata kama vina jina jingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna jinsi ya kupata virutubisho vinavyofanana na hivyo hata kama vina jina jingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sipo vema kwenye hayo mambo ila kama unawajua wale wazee wa Forever Living jaribu ongea nae mmoja.

Au pia unaweza mtafuta daktari au angalia contents za iyo unayoitaka ndio uta compare na products za hao Forever.

Kumbuka wao ni wafanya biashara so wanaweza kukupa yoyote wakasema zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…