Kazimili255
Member
- Jan 25, 2014
- 14
- 13
Akijibu ni tag mkuuWalikwambia kosa lako nini?
kosa langu kwa kuwa bos kagoma kuondoka nao, wakaona kwa kuwa huyu ni fundi wake wacha tuondoke nae bos wake atamfataWalikwambia kosa lako nini?
Na we ukakubali kwenda, umeshindwa hata kuwapiga na machepe?kosa langu kwa kuwa bos kagoma kuondoka nao, wakaona kwa kuwa huyu ni fundi wake wacha tuondoke nae bos wake atamfata
Kilitibuka vibaya mno, kwa kuwa walikuwa watano wakanibeba jukwajuuNa we ukakubali kwenda, umeshindwa hata kuwapiga na machepe?
Kosa langu kujenga chemba za Choo bila kibaliWalikwambia kosa lako nini?