Wassira: Pole Sana Singida kwa kuzaa mwongo mwandamizi

Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
Unafikili akili bado anayo?
 
Niliwahi sikia mzee ana ekari zaidi ya 200 huko Kihuluka (usiniulize ni wapi) lakini hajaendeleza hata moja na imepita zaidi ya miaka 10. Utamfanya nini
 
Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
Wanaomfahamu watueleze amefanya nini Cha maana kwenye Nchi hii? manake alikuwa anagandisha Samaki pale msasani Mkwere ndio alimtoa
 
Kwanini hamkumpa urais Kama afya ya akili inaruhusu Kwa kipindi kirefu hicho
Sikubaliani na Wassira Kuwa upande wa wauza Nchi,

Nampongeza Kwa zawadi ya AFYA na Akili Mungu alizomjalia na kumpa umri mrefu akiwa Bado na nguvu.

Ushauri wangu, asipambane na vijana, watasababisha AFYA yake kutetereka.

Ajibu wazee wenzie kina Prof Shivji Kwa HOJA, kifungu Kwa kifungu, anao uwezo huo.
 
Wanaomfahamu watueleze amefanya nini Cha maana kwenye Nchi hii? manake alikuwa anagandisha Samaki pale msasani Mkwere ndio alimtoa
Kazi yake ni mshauri ndio maana anawafundisha nyie mbumbumbu mnaohemka hovyo ,unaweza kuuza mpaka?
 
Kipindi cha Nyerere yupo
Kipindi cha Mwinyi yupo
Kipindi cha Mkapa yupo
Kipindi cha Kikwete yupo
Kipindi cha Magufuli yupo
Kipindi cha Samia yupo

Hivi huyu mpuuzi hana kazi za kufanya !.
We Ile sura unaona ya kawaida Ile? immortal yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…