Wasiojulikana Wasogee Waone!

Miili mikubwa lakini hamna kitu apo. ,,
 
Kwa sasa wenye nazo bongo inabidi waishi kwa timing maana hawatakiwi, inabidi watu wasijue hata unatumia gari gani, ile gari unaipa jina lako kwenye plate number naona kama kujichongea kwa sasa
 
Snaipa anatandika wote hao chap unajikuta umesimama peke yako walinzi wote chali,hata nguvu ya kukimbia hupati wanakuja kukuokota kama kuku mwenye mdondo
 
Unafikiri hua wanakuja kupigana mieleka?

Ikiunguruma AK47 hapo mabaunsa wanageuka kua Usain Bolt. Ndani ya dakika mbili uko kwenye buti ya gari unaelekea Mabwepande!

Usidanganywe na hiyo minyama!
 
Snaipa anatandika wote hao chap unajikuta umesimama peke yako walinzi wote chali,hata nguvu ya kukimbia hupati wanakuja kukuokota kama kuku mwenye mdondo
Wasiojulikana mataira tu hawana sniper
Kama walikua 4 tena vijana wakapigwa na mzee miaka 58
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…