Washing mashine kwa bei ya chini

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,934


Acha kufua kwa mikono kuwa kidital zaidi kwa kutumia mashine ya kufulia nguo
Uwezo kg 7
beand Hotpoint
motor power watt 380
inafua kusuuza na kukamua pia kukausha kwa nguo nyepesi by spin drying
inatumia umeme kidogo sana hata unit mmoja haimalizi kwa kufua kwa muda wa 1hour
ni kwa matumizi ya kifamilia siyo biashara maana mashine za biashara ya dry cleaner zipo.
kama huna maji unaweza kuwa unaingiza kwa njia ya kawaida,
bei 320,000 pungufu tunaongea. mahalidar tegeta wazo.
imetumika lakini bado iko safi kama mpya maana haijatumika sana.
sababu ya kuuza nauza kwasababu nimeamua kuuza kama ambavyo niliamua kununua si kuulizwa sababu.
View attachment 734035 View attachment 734035
 

Attachments

  • ma2.jpg
    43.9 KB · Views: 156
  • ma4.jpg
    35.6 KB · Views: 151
inaelekea watu wa jamiiforums hampendi kuishi kidigital bali ki analog
 
Nimeipenda hiyo sababu ya kuuza [emoji23]
 
TAFADHARI NAOMBA NAMBA YA SIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…