Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 844
Mie tayari nishatoa msaada wangu kwa kadri niwezavyoNatumaini hata mwandishi usha toa msaada huko, wasanii wana reflect jamii yetu ilivo, wana siasa wamekuwa kimya, walim wa vyuo vikuu, wafanya biashara, na kada mbali mbali.
Hata hapa JF tumekuwa kimya
Japo ni kweli wasanii kwa ujumla wao hawaja fanya chochote cha kuwa saidia.
Sote tubadilike
*it begins with you
Tunakumbushana tu Ndugu yanguLawama nyingine jamani aagh!!...
Labda nao wamesha fanya kimya kimya kama wewe!Mie tayari nishatoa msaada wangu kwa kadri niwezavyo
wasanii wa bongo wanavyopenda Ujiko hawawezi kufanya kimya kimya hata kidogo. Ila labda wanajikusanya kwanza. Ngoja tusubiri tuoneLabda nao wamesha fanya kimya kimya kama wewe!
*Ahsante! Ni vzuri, kama hawaja fanya wahimizwe tuu wafanye
Itabidi wazo hili tulifikishe katika uongozi wa JF ili iwekwe thread maalum kwaajili ya kutoa michango. Ninaimani wengi wanataka kutoa michango yao ila hawajui pa kuanziaNipo tayari kutoa mchango wangu.
Naombeni mwongozo
Nawote waliotayari sisi kama wanajamii
Tushauriane nini cha kufanya
Nipo tayari kutoa mchango wangu.
Naombeni mwongozo
Nawote waliotayari sisi kama wanajamii
Tushauriane nini cha kufanya
Itabidi wazo hili tulifikishe katika uongozi wa JF ili iwekwe thread maalum kwaajili ya kutoa michango. Ninaimani wengi wanataka kutoa michango yao ila hawajui pa kuanzia
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
Asante sana Mkuu.
Hiyo siyo sababu ya kutokutoa misaadaKazi zetu mnatuibia, hatuna kitu ila yakitokea majanga mnataka tutoe msaaada, NJI HII BWANA
Sasa wewe unadhani mtu kama shilole, Gigy money , baraka da prince sijui watatoa msaada upi... Kama msanii hawezi kujisaidia mwenyewe ataweza kukusaidia wewe... Wasanii wengi wa tanzania ni upstairs wasiojielewa ambao bado wanaamini ukale na ujinga...
Na wakitoa mtasema hivo hivo,ni bora wameamua kuuchuna. Pesa zao, lakini bado munawaambia wanataka ujiko.wasanii wa bongo wanavyopenda Ujiko hawawezi kufanya kimya kimya hata kidogo. Ila labda wanajikusanya kwanza. Ngoja tusubiri tuone
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
Sasa nini maana ya kioo cha jamii.?Wengine tukitoa misaada hatutaki show off kwan hayampendezi muumba
Kioo cha jamii ndo kujikweza kuwa umesaidia watuSasa nini maana ya kioo cha jamii.?