Hiyo lugha tu unayotumia inaonyesha ni kasi gani cha akili ulichonacho. Hizo nyimbo nyingi za Majani ni zipi mbona huzitaji? Mi nachojua Majani nyimbo zake mwenyewe alizo-release ni "in the club" ambao mwenyewe alisema it was just for fun na "please forgive me" aliomuimbia Mama mtoto wake Kajala. Na kwa taarifa yako "in the club" uli-hit.
Dr Dre aliimba chorus lini? Q Chilla, Juma Nature, Dataz & Squeezer, Dully Sykes, Daz Nundaz walichemsha kwenye nyimbo zao? Ndio maana imekuuliza umeanza lini kusikiliza muziki.