Wasaka ajira

maana yake unapotuma copy ya cheti chako kiwe na muhuri wa mwanasheria anayetambulika na serikali.
 
Amesomea komputa,biashara veta miaka miwili na amekuwa akisimamia petrol station 2 kwa maana kutuma order ya mafuta kulingana na mahitaji kusoma pump kujua mafuta kiasi gani yameuzwa kwa siku kufunga hesabu ya siku ana uzoefu wa miaka zaidi ya minne kwa hii ya petrol station lakini ni mtaalam wa mambo ya stationery pia no yake0714400414

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa heshima na taadhima wadau naja tena kumuombea KAZI iwe ya msaidizi wa ofisi,petrol station, recording, mwenye ujuzi wa computer kwa simu no 0788997980 au stationery yuko tayari amesomea biashara na ana uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…