Zamani ndiyo ilikuwa hivyo siyo sasaKwa maana hiyo CCM ni dubwasha la kupika watu wachafu wakati Chadema ni kiwanda cha kutengeneza watu safi wenye maadili mazuri.
Wamechanganyikiwa...........
...... akili imegota Nyalandu kawachanganya sana
Nyalandu 1000 = Petrobas mmoja.......
...... akili imegota Nyalandu kawachanganya sana
Sawa kabisa waliohapa kutoka chadema ni wasafi tena sana baada ya kupikwa na kufundishwa maadili ya kazi. Sasa jiulize wamehamaje. Wengine wamehama kwa kutishiwa kufilisiwa mali zao. Halafu wale mwezi moja watakuwa sio wale watakatifu waliotoka chadema watakuwa ni wezi waongo na wala rushwa kwasababu wameenda kwa wezi wenzao. Na wale unaowaita wezi waliotoka wezi wakaamua kuja kuokoka na kweli wameokoka kwani ndani ya chadema hakuna rushwa. Wanajitolea chochote kile kidogo walichonacho wanagawana mengi ilikuwa ni kuwasaidia wana wa Tanzania wanaoteseka kwa kuongea, kuibiwa na Majizi ccm. Hata uwe mtakatifu kiasi gani ukinusa tu ccm nawe anachanganyikiwa na kuwa mwizi. Uzuri wamehamia ccm kama wao hakuna athari yoyote waliopata chadema. Wanachama wanne, chadema wanaingiza wanachama wapya 300. Haya mahesabu ni chadema tu ndio wanaijua, ukiwa ccm siyo rahisi kujua hili kwani akili home freez mpaka ije ishituliwe siyo leoAmani ya bwana iwe nanyi.
Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .
Hivi karibuni limeibuka wimbi la wanachama kuhama chama mara kwa mara, hili ni jambo la kawaida wala hamna anayelitilia shaka kwa sababu kwenye nchi yenye democrasia pana kama Tanzania hayo mambo yanatazamiwa kutokea.
Kilichonishitua na kuamua kuandika uzi huu ni aina ya wanachama wanaohamia kutoka ccm kwenda chadema. Ukiwaangalia waliohamia chadema kama Lowasa, Sumaye ,Wema Sepetu , Nyalandu wote ni watuhumiwa wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiulizwa kwa nini wezi na wauza madawa ya kulevya wanakimbilia chadema? Anajibu chama ni watu!!!
Kweli chadema imesahau miiko ,maadili na misingi ya kuanzishwa kwake hadi ipokee mafisadi na wala rushwa?
Kwa hali hii chadema inajiandaa kushika dola kweli?
Kwa upande wa wanachama wanaohamia ccm kuanzia ,Masha ,Mkumbo ,Mwigamba , Katambi wote ni wasafi na hawana hata tone la ufisadi wala matumizi mabaya ya madaraka kama wale wanaotoka ccm na kwenda Chadema!!
Kwa nini hali hii inatokea??
Nini kimeifanya chadema iwe kimbilio la mafisadi ,wala rushwa na majizi alafu ccm kugeuka kuwa kimbilio la wasafi ,wazalendo na wachapakazi?
Mnalalmika mitandaoni wakati mna mahakama...wapelekeniAmani ya bwana iwe nanyi.

Hahahah...nyalandu mmoja wametumia million of cash to purchase an idiots......
...... akili imegota Nyalandu kawachanganya sana
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji12] [emoji45]Kwa maana hiyo CCM ni dubwasha la kupika watu wachafu wakati Chadema ni kiwanda cha kutengeneza watu safi wenye maadili mazuri.
Hawa jamaa hawama akili. CdM wamezunguka kwenye campaign wamevuna mamia ya wanachama na ndio ambao ni potential sana kwa CdM, wao (ccm) inachukua mauza uza......Sawa kabisa waliohapa kutoka chadema ni wasafi tena sana baada ya kupikwa na kufundishwa maadili ya kazi. Sasa jiulize wamehamaje. Wengine wamehama kwa kutishiwa kufilisiwa mali zao. Halafu wale mwezi moja watakuwa sio wale watakatifu waliotoka chadema watakuwa ni wezi waongo na wala rushwa kwasababu wameenda kwa wezi wenzao. Na wale unaowaita wezi waliotoka wezi wakaamua kuja kuokoka na kweli wameokoka kwani ndani ya chadema hakuna rushwa. Wanajitolea chochote kile kidogo walichonacho wanagawana mengi ilikuwa ni kuwasaidia wana wa Tanzania wanaoteseka kwa kuongea, kuibiwa na Majizi ccm. Hata uwe mtakatifu kiasi gani ukinusa tu ccm nawe anachanganyikiwa na kuwa mwizi. Uzuri wamehamia ccm kama wao hakuna athari yoyote waliopata chadema. Wanachama wanne, chadema wanaingiza wanachama wapya 300. Haya mahesabu ni chadema tu ndio wanaijua, ukiwa ccm siyo rahisi kujua hili kwani akili home freez mpaka ije ishituliwe siyo leo