Wasafi Presenter Search Majaji mna matatizo

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,653
Nimejikuta naangalia kwa bahati mbaya hiki kipindi, for sure judges ni wehu. Wanalazimisha presenters wanaokuja jaribu vipaji vya utangazaji wa magazeti lazima wapayuke kama Zembwela au Maulidi Kitegne, huo ni ujinga mkumba sababu kila mtu ana style yake.

Lily Omy ni ujinga umemjaa kichwani, Baba levo ni mjinga mwandamizi, Abdalah Mtiga roho mbaya sana, Edo Kumwembe sijui amefikaje hapo alipo, Amy irlGs at least ila apunguze kumcopy Fety.

Nina uhakika hata wao wangefanyiwa usahili kwa namna wanayofanya wasingefika kokote!
 
Wala hawako serious, utadhani ni comedy show
 
Ni televisheni gani hiyo, umesema inaitwa wasafi¡¡¡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…