kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,150
- 15,382
BAada ya kauli hii “You have to understand, there is nothing on this space, just ground and a lot of dead Russians.”Kama ilivyo kawaida kwa kiongozi wa Wagner Group kujitokeza hadharani na kudai mambo yasiyoyokuwa na uhalisia, mara hii Tena ameweza kujitokeza hadharani na kudai hadharani kwamba wafungwa wa kuokoteza magerzani wanaounda kundi la mamluki wa Wagner wameiteka bakhumut.
Matamshi haya kutoka Kwa mkuu huyu anayetajwa kuwa na matatizo ya akili,yameonekana kuwa na lengo la kuongeza molari kwa askari wa urusi wanaoonekana Kuchoka sana kutokana na mkong'oto wanaotembezewa, lakini kiuhalisia bakhumut inabaki kuwa fupa gumu huku ikiendelea kunywa damu za askari warusi wengi.[emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji1255]Ukrainian warriors are advancing on the flanks in the suburbs of the Donetsk region’s Bakhmut and are close to tactically encircling the city.
The relevant statement was made by Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi, an Ukrinform correspondent reports, referring to Military Media Center.
According to Syrskyi, Ukrainian forces are now controlling a small part of Bakhmut, but its defense is very important, as this allows them to enter the city immediately as the situation changes.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
BAada ya kauli hii “You have to understand, there is nothing on this space, just ground and a lot of dead Russians.”
Ikumbukwe, mji huo uliosambaratishwa, zamani ulikua ni makaazi ya watu 80,000.
Sasa hivi hakuna raia Bakhmut, hivyo wakaazi rasmi wa mji huo ni Wanajeshi wa Russia na wapiganaji wa Wagner. Wamepigania kuingia na sasa wamejaa, wameachwa wenyeww, kinachoenda kufuata ni kuokota senene
Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe![emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, Commander of Ukraine’s Ground Forces, has said that the Ukrainian forces have continued defensive operations on flanks around Bakhmut. The Ukrainian army now controls the outskirts of the city.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiupole kabisa kubwa jinga umecoment,, hehehe,,!!Mnachekesha sana, sasa badala mshinde vita mnategemea kutafsiri kila neno analosema Zele....
Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe!
Si tulikubaliana kwamba urusi kateka eneo lote la bakhumut, Sasa mapigano hapo bakhumut yanatoka wapi[emoji1787]Hahaha "The Ukranian army now controls the OUTSKIRTS of the city." Unaelewa maana yake? Hehehe!
Haujaielewa hiyo comment yangu.Mnachekesha sana, sasa badala mshinde vita mnategemea kutafsiri kila neno analosema Zele....
Haujaielewa hiyo comment yangu.
Bado haujaelewa hiyo comment, tatizo unasoma haraka bila kutaka kuelewaWewe unataka kusema mumeshinda kisa mnavyotafsiri maneno.
Si tulikubaliana kwamba urusi kateka eneo lote la bakhumut, Sasa mapigano hapo bakhumut yanatoka wapi[emoji1787]
Na baada ya urusi kuiteka bakhumut kaelekea sehemu gani[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app