Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
wakuu nimekutana na draft hii ya waraka wa wanyakyusa kuelekea uchaguzi mkuu 2010, naomba fatsiri pls.
Mghonile bhandu bha kyala,
Ndagha fijoo nu ubhutolwe ubhwa kisu iki ikya Tanzania,
--kyala ikubhabhona bho mkwenda kitali, mwebhakisu.
--muli pasi kimaisha bho ulwa ndima sya paafula
--Imijhanga ukufuma kukisu kya india, ghili pamwanya fijho bho imikatapela
mwebhene kisu amatanga ghakubhoneka.
--Muli bhiii kumaso, mkufwana muli bhana bhamfuu.
nifisuri tumalisie kwa kiswahili.
--Nyumba sote sa Asajile mwaijumba (msajiri wa majumba) sote wanaishi
wajhanga toka india.
--Tunabaki tunakunywa kyai kya lukama kya moto nkikombe kya kyuma
kwa sababu ya KYAMA KYA MAPINDUSI (sisiem)
FIKI? MUKWA KUTWAGHA 2010.
KYALA NUNU , KYALA LUGHANO!! NDAGHA KYALA! AMENI.
- Great Thinker, agha mahala gha mwaro mwaro fijo, Bwa! ha! ha!
Respect.
- Naona ni mambo ya weekend haya!
FMEs!
Mazee vipi lini nawe utatuletea waraka wenu wa wagogo?bwa hahahaha
- Great Thinker, agha mahala gha mwaro mwaro fijo, Bwa! ha! ha!
Kinyaky hicho baba, anamaanisha haya ni mawazo ya kijinga sana bwa! ha
umesahau kama maza wake alikuwa wa mbeya?Mazee vipi lini nawe utatuletea waraka wenu wa wagogo?bwa hahahaha
umesahau kama maza wake alikuwa wa mbeya?
Ndaga Fijo
Sio hivyo ni hivi, ndagha fiijo,
Mazee vipi lini nawe utatuletea waraka wenu wa wagogo?bwa hahahaha
Acha kuweka personal issues wewe!
Ndaga tuyuyu
mbombo ingafu!!!
ukatele ni mbombo malafyale,lakini jamani hivi lugha ya kichaga inaandikika kweli?
Dogo ulipotea sana ...ama ni mambo ya multiple IDs...karibu!
ahaa ahaa ahaa!!
ukuti ukuti ...... wanani wanani.....!!!
mbombo ngafu,sye ikisu kyonangike,
kwa kyela kununu,umwelu kungisi + unguliga gweni=banyakyusa,pope linga kufuma kwa kyela au kutukuju au kwi ileje twesa tulibanyakyusa