Kama unatoka kariakoo kwenda TAZARA kabla yakufika kwenye MAKUTANO ya Kwenda Chang'ombe hapo kati ndo kuna hicho kituo cha Darajani kuna JENGO la GHOROFA MBILI Rangi ya KAROTI na VIOO vya kijani ndo WIZARA ya MALI Asili na Utalii ilipo! kila la heri ndg!