wadau kuweni makini kuna matapeli wanapigia watu simu na kuwaomba fedha ili
kushort list majina.Kwa taarifa za ndani ni kuwa hao ni matapeli wenye nia ya kuwalaghai job hunters.Upigaji huo wa simu unafuatia aptitude test ya PSPF iliyofanyika 1 June 2013!!!