PistolGang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2013 Posts 392 Reaction score 44 Nov 24, 2014 #1 Habari wadau? Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla. Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana.
Habari wadau? Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla. Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,942 Reaction score 802 Nov 24, 2014 #2 Nenda Kariakoo maduka ya jumla zipo za kila aina
PistolGang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2013 Posts 392 Reaction score 44 Nov 25, 2014 Thread starter #3 Osaba said: Nenda Kariakoo maduka ya jumla zipo za kila aina Click to expand... Asante. Hivi maduka haya kariakoo yapo mtaa gani? plz
Osaba said: Nenda Kariakoo maduka ya jumla zipo za kila aina Click to expand... Asante. Hivi maduka haya kariakoo yapo mtaa gani? plz
manka15 Member Joined May 18, 2015 Posts 47 Reaction score 3 May 30, 2015 #4 PistolGang said: Habari wadau? Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla. Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana. Click to expand... Ulifanikiwa na mimi nahitaji nielekeze plz
PistolGang said: Habari wadau? Naomba wa kunijuza ni maduka yapi mjini Dar huuza hangers za nguo kwa ajili ya boutique kwa bei ya jumla. Ukinijuza na bei zake utanisaidia sana. Click to expand... Ulifanikiwa na mimi nahitaji nielekeze plz