karanga mbichi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 269 Reaction score 223 Feb 19, 2015 #1 Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi? Asanteni
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi? Asanteni
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,382 Feb 19, 2015 #2 1..umefail kwa kiwango gan na umepata pass ngapi? 2..utaanza na certificate mwaka 1 3..kuna chuo cha utalii pale posta mtaa wa shaban robert karib kidgo na ifm...nenda utapat maelzo zaid
1..umefail kwa kiwango gan na umepata pass ngapi? 2..utaanza na certificate mwaka 1 3..kuna chuo cha utalii pale posta mtaa wa shaban robert karib kidgo na ifm...nenda utapat maelzo zaid
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,627 Feb 19, 2015 #3 nenda chuo kikuu chochote unachokipenda kuna course za certificate utaanzia hapo usikate tamaa kila fani inalipa
nenda chuo kikuu chochote unachokipenda kuna course za certificate utaanzia hapo usikate tamaa kila fani inalipa
Sikununu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 341 Reaction score 101 Feb 19, 2015 #4 Tandika....bandari college
A Agustini john Member Joined Aug 9, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #5 Sikununu said: Tandika....bandari college Click to expand... Eti bandari college inafundisha kozi zip?
Sikununu said: Tandika....bandari college Click to expand... Eti bandari college inafundisha kozi zip?
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 Feb 19, 2015 #6 karanga mbichi said: Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi? Asanteni Click to expand... National College of Tourism (NCT) | Tanzania
karanga mbichi said: Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi? Asanteni Click to expand... National College of Tourism (NCT) | Tanzania
Sikununu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 341 Reaction score 101 Feb 19, 2015 #7 Agustini john said: Eti bandari college inafundisha kozi zip? Click to expand... Unauliza au unashangaa... Chuo kipo karibu na bandari college
Agustini john said: Eti bandari college inafundisha kozi zip? Click to expand... Unauliza au unashangaa... Chuo kipo karibu na bandari college
A Agustini john Member Joined Aug 9, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #8 Sikununu said: Unauliza au unashangaa... Chuo kipo karibu na bandari college Click to expand... Nauliza naomba unitajie koz wanazo fundisha hapo bandari college
Sikununu said: Unauliza au unashangaa... Chuo kipo karibu na bandari college Click to expand... Nauliza naomba unitajie koz wanazo fundisha hapo bandari college