Natumia N70 Maxx. Batt Gold, hii ni la Kikorea Genuine inadunda freshi tu toka mwezi wa 7 last year. Naskiliza redio hata nikizima gari bila wasiwasi nikiwasha ni jino moja.
Halafu wabongo hatujui matumizi ya betri ikishazingua Mara moja unatupa na kununua nyingine. Mm betri Chloride Exide N70 (dry) ilizingua Agosti 2020 nikaenda kulichaji Kwa fundi uswazi Tsh. 2,000 tu mpaka leo linapiga kazi Safi tu