MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
We mfipa tuondolee lugha yako ya kurogea ya SumbawangaFiesta not reachable, duuuuh.....!!
Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?
#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?
Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?
Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele wala mchicha.
Msalimie yule Mwanaume wa Dar mwenye Dimpoz na pozi kwa pozi.
We mfipa tuondolee lugha yako ya kurogea ya Sumbawanga
Haya bwana, mfipa ni mtani wanguNilienda uko kuchukua uzoefu wa kupaa na ungo, nikavutiwa sana na hiyo Lugha mkuu.
Poa naitupiaUnakumbuka ngoma yake ITAFAHAMIKA? Embu itupie mkuu kama unayo......
Ney yupo busy kumalizia gorofa lake ww endelea kupiga keleleee
Hata km anamwimbia mtu mmoja nyumban kwake chamsingi analipwa mtonyooWiki iliyopita alikuwa mkoa wa mtwara anapiga kwenye vibaaa vidogo vidogo
Baraka ile nyumba ya mama mkwe wake awee na nyumba aringeeKama la Baraka da Prince au ghorofa gani?
Download hii apaUnakumbuka ngoma yake ITAFAHAMIKA? Embu itupie mkuu kama unayo......