Ule mkutano wa chama chako Dodoma juzi lilikuwa soko zuri sana.Habari zenu wadau hasa wale wenzangu na mm walioamua kujikwamua kwa kukiendea kilimo. Baada ya msoto wa muda mrefu nliamua kukiendea kilimo cha matikiti na hapa ninapoandika uzi huu matunda yameshakua tayar kwa kuliwa tatzo limekua soko kwan nmewafata wateja kama watatu naona wananipelekea kutaka kujiona tena sina thaman maana hata gharama zake hazirud kwa bei wanayonitajia. Nmelima heka mbili maeneo ya KIMBIJI (Kijaka) Dar es salaam ambapo nlipishanisha katika kupanda kwan kwa sasa heka moja iko tayari nyingne bado kama siku 14 yavunwe pia. Mwenye mawazo anisaidie wadau maana nna headache kali sana yaan dah. Kwa mzigo uliopo tayari ni kama tani tatu hvi yapo makubwa sana na size ya kati kwa kifupi yamependezaView attachment 374985View attachment 374986
Napatikana kwa 0713806766.
Jamani mwenzenu anatafuta soka, nyie mnavunja moyo sio vizuri, kumbukeni matikiti yakizidi wakati yanaharibika. Kisa wa buku7Mpigie Nape au Ole Sendeka aje anunue ukiwakosa hao peleka Lumumba buku 7 fc watayashambulia yote
AhsanteeeeUle mkutano wa chama chako Dodoma juzi lilikuwa soko zuri sana.
Ningeweza kukusaidia kutafuta soko...Habari zenu wadau hasa wale wenzangu na mimi walioamua kujikwamua kwa kukiendea kilimo.
Baada ya msoto wa muda mrefu niliamua kukiendea kilimo cha matikiti na hapa ninapoandika uzi huu matunda yameshakua tayari kwa kuliwa tatizo limekua soko kwani nimewafata wateja kama watatu naona wananipelekea kutaka kujiona tena sina thamani maana hata gharama zake hazirudi kwa bei wanayonitajia. Nimelima heka mbili maeneo ya KIMBIJI (Kijaka) Dar es salaam ambapo nilipishanisha katika kupanda kwani kwa sasa heka moja iko tayari nyingine bado kama siku 14 yavunwe pia.
Mwenye mawazo anisaidie wadau maana nina headache kali sana yani dah. Kwa mzigo uliopo tayari ni kama tani tatu hivi yapo makubwa sana na size ya kati kwa kifupi yamependeza.View attachment 374985View attachment 374986
Napatikana kwa 0713806766.
Ningeweza kukusaidia kutafuta soko...
Ila baada ya kugundua kuwa walioko kwenye AVATAR yako wamesababisha niisome NAMBA mara kadhaa siwezi kukusaidia tena...
Kwani mpaka sasa bado naendelea kuisoma tarakimu ya kirumi taratibu..!