Kama ukiwa unatoka Kinondoni ukishavuka Jangwani utakutana na makutano ya Morogoro Rd na UN Rd/Swahili Rd.
Ukifika kwenye hayo makutano utapinda kulia kuelekea Kariakoo, upande wa kushoto kuna petrol station na kulia kwako kuna yard vuka hiyo yard, vuka barabara ya vumbi iliyopo kulia kwako then kuna duka moja kubwa sana hapo linauza vifaa mbalimbali vya salon za kike na kiume.
Ulishindwa hapo nenda Kariakoo upande wa maduka ya vipodozi mtaa wa Jangwani kama skosei karibu na mabasi yanayoenda Mbezi nilishakuta vitu vya salon pia.
Ukitaka nikupeleke karibu PM.
KLH.