Wapi napata huduma ya massage Dar es Salaam?

Aisee we jamaa unajua kueleza, duhh huachi ata nukta
 
ndo mana naipenda JF..... JAMAA KAELEZA KILA KITUUUU
 
Nilijua hata watasema inafunguliwaje maana hivi ndo viwanda ambavyo havikosi wateja 😂😂😂
Mkuu umefufua chaka la muda mrefu

Nitaleta mrejesho hapa baada ya kupata nauli ya kwenda Dar, yaliyonikuta ni balaa

Aliyonifanyia mtoto amina si ya Dunia hii

Jf idumu milele
 
[emoji44][emoji44]hapo ndio unajikuta kama mtu kakushikia ubongo
 
Kuzimia, mi nadhani nitakua nipo kitanda cha matairi napelekwa mochwari sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu usiombe ukutane na hivyo vidada vya massage ni hatari kuliko kawaida
ni bora usijaribu kama hujawahi maana mapato yako yanaweza yaishie huko😀
 
Mkuu usiombe ukutane na hivyo vidada vya massage ni hatari kuliko kawaida
ni bora usijaribu kama hujawahi maana mapato yako yanaweza yaishie huko😀
Mtaa ninapopambania kutafuta ugali zipo karibia 5 ila naogopa kuoita hata karibu na mageti yako nisijejikuta ndani kimasihara.
 
Ukitaka kumaliza unaongeza ngapi ....bei?
 
Mtaa ninapopambania kutafuta ugali zipo karibia 5 ila naogopa kuoita hata karibu na mageti yako nisijejikuta ndan

Mtaa ninapopambania kutafuta ugali zipo karibia 5 ila naogopa kuoita hata karibu na mageti yako nisijejikuta ndani kimasihara.
Endelea na msimamo huo huo mkuu, usithubutu ushawishike, yanayofanyika huko ndani ni balaa
 
Mtaa ninapopambania kutafuta ugali zipo karibia 5 ila naogopa kuoita hata karibu na mageti yako nisijejikuta ndani kimasihara.
Acha uoga wewe! Maisha yenyewe yako wapi? Mimi hapa ni mzee, lakini purukushani haziishi!! [emoji56]

Tumia vizuri hicho kiwanda cha kuzalisha mbegu ili tumuunge mkono Rais wetu wa wanyonge na ile kampeni yake ya Tanzania ya Viwanda.[emoji45]
 
Mkuu umefufua chaka la muda mrefu

Nitaleta mrejesho hapa baada ya kupata nauli ya kwenda Dar, yaliyonikuta ni balaa

Aliyonifanyia mtoto amina si ya Dunia hii

Jf idumu milele
Pongezi kwa Amina.itabidi tumtafute tujue alifanyaje fanyaje hakuna namna
 
Hii ndio connection ya nguvu kuliko zote
 
aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…