Wapi napata huduma ya massage Dar es Salaam?

Ulaya wame advance imefika hatua Massage kwa ajili ya Wanaume inafanywa na Wanaume na ya Wanawake inafanywa na Wanawake! Astaghfirullah
Ulaya ipi unayoongelea? ulaya hii niijuayo mimi! mnawapa credit wazungu bure wakati ni wachafu na uchafu wao kwa sasa tena ni hadharani tu
 
Wakati yote haya yakifanyika bado unakua mzima kweli boss.....!
kama ni mimi nahisi nitakua nimezirai......... Kweli wakubwa mnafaidi
 
Kwa uelezeaji huo nahisi kila wiki huwa unaenda
 
Wakati yote haya yakifanyika bado unakua mzima kweli boss.....!
kama ni mimi nahisi nitakua nimezirai......... Kweli wakubwa mnafaidi

Unakuwa na akili zote mkuu, kua uyaone

Kwa uelezeaji huo nahisi kila wiki huwa unaenda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tafadhali mkuu kuna mtu aliuliza sasa nisitoe direction au [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 
K
Kabla ya kila kitu lazima kwanza nimle maana mm sitak kuteseka kifalafala.
 
Unakuwa na akili zote mkuu, kua uyaone

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tafadhali mkuu kuna mtu aliuliza sasa nisitoe direction au [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Mkuu hii ni zaidi ya direction nadhani utakua umewasidia kwa promo, ila unaweza ukawa ndo ume waharibia maana wasiyokuwa na nia njema wanaweza kutia maguu ili tu wakawaharibie.

Mi mwenyewe natafuta nauli nifike Dar nikashuhudie haya mambo ya wakubwa maana huku mikoani hizo huduma hakuna kabisa. Ila nahofia nitapiga yowe kama watanifanyia yote hayo
 
Nikiingia room kabla ya yote lazima nimt..mbe kwanza ndio aendelee na massage yake vingenevyo mm baada ya massage ni mwaisela moja kwa moja.
Umenena mkuu....
Duh..... maana kama haya anayosimulia jamaa ndiyo kweli wanayofanyiwa wanaume wa Dar basi mnastahili sifa
Ni mimi nimeamua kuisaka nauli nikashudie mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…