Waooooooooooo!!!

Pepo la kuwachukia ukawa nimeombewa jana bado halijatoka naona nikae nalo tu.
 
Eti hata kikombe cha chai hawezi kubeba, nyambaaaaf zenu.
 
Lowasa nitakupa kura yangu na kukuombea uingie Ikulu. Moyo wako ni swafiiiiii
 
Tazama tabasamu lake lilivyo la ukweli!Mtu asiye na vinyongo wala visasi moyoni anaonekana tu.
Sio yule mwingine akitabasamu hajulikani kama anatabasamu!
 
Life is all about changes, I choose to make it. Vote UKAWA for Changes 2015

Hahahahaaa,hebu kunywa kinywaji chochote upendacho bili yangu pls!
Leo ni siku yako.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…