Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Oct 6, 2017 #21 ABiClever Junior said: Subirini nibadilishe avatar narudi kutoa ushuhuda Click to expand... Hahaaa. unaona aibu kusema ukweli
ABiClever Junior said: Subirini nibadilishe avatar narudi kutoa ushuhuda Click to expand... Hahaaa. unaona aibu kusema ukweli
ABiClever Junior JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 948 Reaction score 548 Oct 6, 2017 #22 Dragoon said: Hahaaa. unaona aibu kusema ukweli Click to expand... hamna niliweka picha ya sura yangu naogopa kutekwa, sasa nimebadilisha nimekuwa mtu nisie julikana wacha nifunguke. Kabla ya yote vya kutrace hamna, bwana huyu Raisi au Rahisi kiupande wangu hana maana zaidi kuifanya nchi iwe pakistan
Dragoon said: Hahaaa. unaona aibu kusema ukweli Click to expand... hamna niliweka picha ya sura yangu naogopa kutekwa, sasa nimebadilisha nimekuwa mtu nisie julikana wacha nifunguke. Kabla ya yote vya kutrace hamna, bwana huyu Raisi au Rahisi kiupande wangu hana maana zaidi kuifanya nchi iwe pakistan
ABiClever Junior JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 948 Reaction score 548 Oct 7, 2017 #23 Alaf huyu bwana miaka yake inaenda kipolepole mpaka kero eeeeeh mungu peleka miaka mbio atoke madarakani huyu mzee
Alaf huyu bwana miaka yake inaenda kipolepole mpaka kero eeeeeh mungu peleka miaka mbio atoke madarakani huyu mzee