Binaadamu yoyote yuko huru kwenda sehemu yoyote ile acheni mambo yenu nyie.
Ndugu wadau,
Kuna jamaa amenitonya jana alikua mikocheni Resource Centre (MRC) karibu na Hubert Kairuki Hospital wamejaa watu na mataifa mbali mbali hasa west Africa hawafanyi kazi ni madili ya kutapeli watu kwa njia ya simu wakiwa wamekaa makundi mawili hadi matatu tofauti.
Wakati wakaiwa wanafanya hayo wanaongea na mtu wanaotaka kumtapeli kwenye loud speaker kisha mmoja anasogea pembeni anampigia mhusika kwa simu ingine akijidai yupo sehemu ingine ilikumseti mteja wao huo.
Ombi
Serikali kupitia vyombo vyake vyote police usalama miigration na vingine fanyeni uchunguzi hawa watu wanawaliza watanzania, na hata biashara ya madawa inaweza kuwa inafanyika eneo husika.
lakini pili kama mgeni hana shughuli maalumu anayofanya nchini arudishwe kwao kama sivyo
Basi tunaomba serikali itutangazie MRC ni kituo cha wakimbizi wa kinageria etc
Nimetimiza wajibu wangu kama Responsible citizen
Binaadamu yoyote yuko huru kwenda sehemu yoyote ile acheni mambo yenu nyie.
Sawa; lakini ndio avunje sharia za nchi husika? Kama vipi nenda Saudi Arabia ukiwa umevaa kimini na kitopu halafu uone cha moto.
Mkuu karibu Syria...
Una maana njema kabisa na ninaiunga mkono ila haizuii kuwa na jicho la shaka kila inapobidi kuwa hivyo. Kwa mfano wakati wewe unaingia Israel kwa kushikwa mkono tu labda kuna mwingine Palestine kapoteza familia nzima sababu ya machafuko ilhali yeye hana uhusiano na wanaopambana, paradoxes are real mkuu!!!Binamu mambo vipi?
Tujihepushe na ubaguzi,mimi nimepata kuingia Israel bila viza, ni mtu tu alinishika mkono kumbuka hatuna hata mahusiano ya kibarozi na nchi hiyo.
hizi sharia za kimataifa na mipaka zisiwe sababu ya kupanua tofauti zetu ambazo kimsingi hazipo, wote tuko hapa by chance sio choice sasa kwa nini tuzuie wengine kuja.
itafikia hatua watu wataanza kupinga waharifu kuzaa.
Una maana njema kabisa na ninaiunga mkono ila haizuii kuwa na jicho la shaka kila inapobidi kuwa hivyo. Kwa mfano wakati wewe unaingia Israel kwa kushikwa mkono tu labda kuna mwingine Palestine kapoteza familia nzima sababu ya machafuko ilhali yeye hana uhusiano na wanaopambana, paradoxes are real mkuu!!!