Wanawake wenye ujauzito mnapoteleaga wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,814
Reaction score
60,685
Huwa najiuliza Sana kwanini idadi ya wadada wenye mimba ninaokutana nao Ni chache Sana ukilinganisha na idadi ya vitoto vidogo navyoviona.mfano mtaani nikitembea inaweza ikapita week sijakutana na mama kijacho lakini vitoto navyokutana navyo vikicheza Ni vingi Sana unaweza kudhani kila nyumba Ina vitoto vitatu na kuendelea,ndo maana nimekuja JF kuwauliza wadada huwa mnaenda wapi tukiwapaga mimba mbona hamuonekani mnakuwa adimu sana.
 
Kwani mke wako akiwa na mimba huwa anapotelea wapi?
 
Mimba kuanza kuonekana ni kuanzia miezi mitatu hadi 9.(kwa hiyo actual time ni miezi 6 ya kumuona mwanamke mjamzito)
Wakati mtoto mdogo kuanza kuonekana mtaani ni kuanzia ana mwaka mmoja mpaka miaka mitano.

Kwa hiyo kwa kila mimba moja unayoiona mtaani, lazima ukutane na watoto 10 unaowaona mtaani(sijui kama hapa utaelewa hii hesabu).
 
Wengine mimba zinaonekana kuanzia miezi sita!! Mitatu mbona bado Sana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…