Wanawake wenye Gubu, Walalamishi na Makelele mengi Majumbani ndiyo hulea vizuri Watoto wao wa Kike

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,014
16,749
Habari ndiyo hiyo.

Kuanzia leo ukiona Mkeo au Demu wako ambaye umezaa nae Mtoto wa Kike anakuwa na Gubu au Mlalamishi au ana Makelele sana usimshangae au usimzuie labda kwa kumwambia abadilike bali Wewe futrahia kwakuwa Utafiti wa Kisayansi kabisa umefanyika na Kugundua kuwa Wanawake wenye hizi tabia ndiyo huwa wanalea vyema mno Watoto wao wa Kike ambao baadae wengi wao huja kuwa na tabia njema na Maadili mema katika Jamii yetu.

Muangalie Mpenzi wako wa Kike hapo ulipo sasa kama umezaa nae Mtoto wa Kike halafu si Mlalamishi au hana Gubu wala Makelele hapo Kwako basi anza Kujiandaa Kisaikolojia juu ya tabia mbaya ambazo huyu Binti yako atakuwa nazo pale akishakuwa Mkubwa.

Chanzo Taarifa: Jarida la Readers Digest.

Kazi ipo hakyanani!
 
"Tabia njema na maadili mema" ni nini?
 
Picha ikp wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…