Mi siringi ujueuringe mara ngapi jamani
Nachambwa siku hizi ngoja mashetani yangu yaamke
Shoga ameshafanya mambo svyo masaa 72 yangemuhusuKakate rufaa shoga
Ringa mpaka wafe
Sijakuona siku mbili hizi oooh unadanga mpaka nakusahau hivi ushanunua vifaa vya presha na sukariEeeh ndiwooo safiii
Njoo tuhakiki, kwani unafkiri nataka kubwa basii!! Kadogodogo tuu flani wanasemaga "amaizin"Mm chura sina
Mchumba, ukisifiwa na mwanamke mwenzio usiamini Sana.Yiiih. Kumbe na mie mzuri eeh. Ngoja nianze kuringa sasa
yaan kama hutembei dunianiMi siringi ujue
Atazima jf
Nachambwa siku hizi ngoja mashetani yangu yaamke
Bado Dada yangu mzigua ngoja amalizie kula uone
Mm chura sina
Nimenunua vya ukimwi tu shoga hihihihihiSijakuona siku mbili hizi oooh unadanga mpaka nakusahau hivi ushanunua vifaa vya presha na sukari