Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
-
- #441
AhahahahahhajaEndelea kuamini hivyo hivyo mkuu, inapunguza maumivu.
Jf sijawahi kuona mwanamke mzuri labda uzuri wa kujichubua tu ila wa roho hawana tena wana roho mbaya sana
Kawaida tu binamKwa hyo nikija nije na jubaa?!!!
kwanin tuna roho mbayaa tumekufanya nini
Tusimulie basi tujirekebishe tuwe na roho nzuriwe Acha tu nimeituliza moyoni
MAMA SABRINA -U DESERVE.Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Zechchriss
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika
Madame B
Evelyn salt
Demi
Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
haaah Chief unamaneno kweliNimefurahi kumuona ukiwa umemuweka top kwenye list... She love me then I love her back. Achana na akina Daby na Miller wana madeni Sacco's zote hapa mjini.
My love for you is like diarrhoea I can't hold it in hun Zahra White....
Misss u Priceless soul,umepotea kweliMAMA SABRINA -U DESERVE.
KITAMBO SANA
more than 5 months
miss u.more honey.....sasa offically nmekuja JF kwaajil.yako...japo
Basi karibu,usipotee tena banamiss u.more honey.....sasa offically nmekuja JF kwaajil.yako...japo
Aiseee usipoteee,we mtu muhimu sana jfmore than 5 months
Sawa sawia honeyBasi karibu,usipotee tena bana
Faraja sana...kukarbshwa naweAiseee usipoteee,we mtu muhimu sana jf
NakujaPM njoo
Unastahili kufurahiaFaraja sana...kukarbshwa nawe