Mtoto akilia habembelezwihuna macho, anakosaje mtoto huyo ana machozi ya asali akilia utatamani umlambe macho
Mfyuuuuhuna macho, anakosaje mtoto huyo ana machozi ya asali akilia utatamani umlambe macho
Uuuh hahahaha kweli kabisa nitafanya hivyoOngeza na vya presha
Lakini simzidi mzigua mwenyeweJomoni mumu pia awekwe
Maana ana figure ya kizigua
AsonyaMfyuuuu
weka mbali na watoto huyo mumu,Mtoto akilia habembelezwi
Utatamani alie hadi kuchee
Alaaa wewe tenaaJomoniiii kumbe namm sivumi tuu lakini nimoo...mashAllah Mama S ahsante kwa maono yako
Asonya ikushiii mimiiAsonya
Dah! Ungejua!!!!Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Umemzidi kwa shingo tuLakini simzidi mzigua mwenyewenipo kwenye list jomoniiii
UwwiiUmemzidi kwa shingo tu
Mtoto shingo kama kuku wa kisingo
CC: Shunie Mzigua
Dah! Ungejua!!!!
Hata usingetajataja hilo neno,
Sisi Wengine maharage ya mbeya ujue!!
Umemzidi kwa shingo tu
Mtoto shingo kama kuku wa kisingo
CC: Shunie Mzigua
Hebu njoo pm kwanzaHiyo sura naijua vyema tu
HahahahahahaDah! Ungejua!!!!
Hata usingetajataja hilo neno,
Sisi Wengine maharage ya mbeya ujue!!
Mkuu unakula sana maharage na dawa ni adimu!Dah! Ungejua!!!!
Hata usingetajataja hilo neno,
Sisi Wengine maharage ya mbeya ujue!!